LIVE STREAM ADS

Header Ads

WASIRA amjibu LISSU akihitimisha kampeni Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Vyama mbalimbali vya siasa Novemba 26, 2024 vimehitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zilizoanza Novemba 20, 2024 na kujiandaa na zoezi la kupiga kura Jumatano Novemba 27,2024 katika mikoa yote Tanzania Bara.

Katika Mkoa wa Mwanza, Mjumbe wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amehitimisha kampeni kwa upande wa chama hicho na kuwasihi wananchi kuwapigia kura wagombea wake huku akitumia fursa hiyo kumjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kauli alizozitoa wakati wa kampeni akiwa Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.