Uchaguzi Mwanza wafanyika kwa amani
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza umefanyika kwa amani na usalama huku viashiria vilivyotaka kuvuruga zoezi la upigaji kura vikizimwa mapema.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: