Dodoma wavutiwa na mfumo wa ukusanyaji mapato Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imevutiwa na mfumo wa kidijitali wa 'Balozi System' unaorahisisha utambuzi wa walipa kodi unaotumiwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Hayo yamebainishwa Jumatatu Disemba 30, 2024 wakati wa ziara ya madiwani na wataalamu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma waliofika jijini Mwanza kwa ziara ya kimafunzo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: