Utendaji kazi wa shirika la KIVULINI wamkosha Waziri Gwajima
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum- Dkt. Dorothy Gwajima amepongeza shughuli zinazofanywa na shirika la KIVULINI katika kuzuia matukio ya ukatili wa kijinsia na kuwezesha wananchi kujikwamua kiuchumi.
Dkt. Gwajima aliyasema hayo Disemba 20, 2024 alipotembelea ofisi za shirika hilo zilizopo Nyamhongolo jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: