DC Nyamagana aja na mkakati wa kila kaya kupanda miti
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amina Makilagi amesema mkakati wa Wilaya hiyo ni kuhakikisha kila kaya inapanda miche mitatu, hatua itakayosaidia lengo la upandaji miche milioni 1.5 kwa mwaka kufikiwa.
Makilagi ameyasema hayo Jumamosi Disemba 14, 2024 wakati akiongoza zoezi la upandaji miti pembezoni mwa barabara ya Buhongwa- Bulale na shule mpya ya msingi Amina Makilagi.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: