LIVE STREAM ADS

Header Ads

Misungwi CDTTI Nyama Choma Festival @Bugando Beach

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wafanyakazi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi (Misungwi CDTTI) wamejumuika pamoja kufurahia pamoja na kujiandaa na muhula wa pili kwa mwaka wa masomo 2024/25.

Tukio hilo limefanyika Ijumaa Februari 21, 2025 katika ufungwe wa Bugando ulipo Nyanguge wilayani Magu.
Wafanyakazi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Ufundi Misungwi CDTTI wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuwasili Bugando Beach.
Zoezi la kuandaa nyama likiendelea.
Wasaa wa kula nyama.
Michezo mbalimbali ikiwemo kuogelea ilikuwepo.
Wasaa wa kufurahia upepo mwanana ndani ya Bugando Beach.
Cheers.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.