Msichana Tai, Mikono Yetu washiriki Kongamano la Kiuchumi Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Msichana Tai na Mikono Yetu ni miongoni mwa wadau walioshiriki kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza, lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA).
Kongamano hilo limefanyika Jumamosi Machi 29, 2025 katika ukumbi wa Kwanza Tunza wilayani Ilemela, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda aliyewahimiza wananchi kuchangamkia fursa zinazowazunguka kujikwamua kiuchumia.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA).
Washiriki wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda wakati akifungua kongamano la fursa za kiuchumi lililofanyika ukumbi wa Kwa Tunza.
Mkurugenzi Mkuu PPRA, Dennis Simba akizungumza kwenye kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na PPRA.
Washiriki mbalimbali wakiwemo kutoka shirika la Msichana Tai wakiwa kwenye kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na PPRA.

Washiriki mbalimbali wakiwemo kutoka shirika la Msichana Tai na Mikono Yetu wakiwa kwenye kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na PPRA.
Baadhi ya wasichana kutoka shirika la Msichana Tai wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na PPRA.
Baadhi ya wasichana kutoka shirika la Msichana Tai wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kongamano la fursa za kiuchumi mkoani Mwanza lililoandaliwa na Kizazi cha Samia kwa kushirikiana na PPRA.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: