REA yaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Alhamisi Machi 06, 2025 umeendelea kutoa elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia katika siku ya pili ya Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25) yanayofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa JNICC jijini Dar es Salaam.
No comments: