LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la MIKONO YETU lashiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Zaidi ya wanawake 200 wamejengewa uwezo kupitia shirika la Mikono Yetu na kufanikiwa kuanzisha shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kiwanda katika eneo la Kahumulo Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.

Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mikono Yetu, Amina Faraji wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa Mwanza katika uwanja wa Nyamagana, Machi 06, 2025. Kilele cha maadhimisho hayo ni Machi 08, 2025.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.