LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanawake Sengerema waadhimisha kilele cha 'Siku ya Wanawake Duniani'

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wanawake wajasiriamali katika Kata ya Kahumulo Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza wameadhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani kwa kukutana pamoja na kupaza sauti kwa Serikali kurahisisha upatikanaji wa mikopo ya Halmashauri.

Kilele cha maadhimisho hayo kimefanyika jumamosi Machi 08,2025 katika Kata ya Kahumulo ambapo kitaifa yamefanyika mkoani Arusha huku kauli mbiu ikiwa ni "Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwazi".
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.