KAMPUNI YA ORBIT SECURITIES YAFUNGUA OFISI JIJINI MWANZA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kampuni ya uwekezaji wa hisa na masoko ya mitaji ya ORBIT Securities ya jijini Dar es salaam, imefungua rasmi tawi lake jijini Mwanza kwa lengo la kusogeza karibu huduma kwa wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Uzinduzi wa ofisi za tawi hilo lililopo katika jingo la Rock City Mall ulifanyika Ijumaa Agosti 29, 2025 ukiambatana na uzinduzi wa mfuko wa “Inuka Dozen Index Fund”, unaolenga kuchochea uwekezaji wa hisa kwa kila mtanzania kwa uwekezaji wa chini hadi shilingi elfu 10.
Watch BMG TV bellow
No comments: