TAKUKURU MABINGWA WA JUMLA MICHEZO YA SHIMIWI 2025
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeibuka mshindi wa jumla wa mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI), yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza kuanzia Septemba 01- 16, 2025.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: