CHEZEA WEMA SEPETU WEWE??..DADA WA DIAMOND ATIA HURUMA, AWA MPOLE KWA TEAM WEMA. HIKI NDO ALICHOKISEMA.
Kwa
sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa habari
mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko. Utakuta mabifu
kati ya mtu mmoja na mwingine yakianzia Insta na kuzua mtafaruku
mkubwa. Pia Insta kuna Team.
Mfano wa team kubwa zinazofahamika ni Team Wema Sepetu, Team Diamond, Team Penny nk.
Sasa
kuna vijimaneno kua Halima Kimwana ambae ni dada wa hiyari wa Diamond
hapatani kabisa na shemeji yetu Wema Sepetu. Kwani inadaiwa kua hata
wakikutana hawaongeleshani.
Wiki hii yote mwanadada Halima Kimwana
amekua akishambuliwa na wafuasi wa Wema Sepetu kwa nini anabifu na Wema. Baada
ya watu kumlalamikia sana Halima hatimaye dada huyo meamua kufunguka
Instagram na kusema haya, Shuka chini
" Mambooz Instagram...!! Ukiona Mtu Kutwa Upo
Mdomoni Mwake Ujue Unamuumiza Sana Kichwaaa..!!
Mimi Ndo Mimi Hata Iweje
Siwezi Kuwa Kama Wewe Mana Yake Naona Mnazid Kutoka Mapovu Ninachoweza
Kuwambia Akuna Mtu Yoyote Anaweza Kunibadilisha Msimamo Wangu... Khaaa
Nimewachoka Jamani Kutwa Halima Halima Mna Nini...??
Tangu Mlipo
Nitukana Kipi Kimepungua Kwanguu...?? Kila Mtu Ana Maamuzi Yake Katika
Maisha Why Maamuzi Yangu Yawe Kikwazo Kwenu?? Mimi Ndo Ninaetakiwa Ni
Post Au Nimpende Huyo Mnaempenda Nyinyi..?
Yeye Ana Watu Wangapi Nyuma
Yake Mbona Ata Siku Moja Amjawambia WaMpost Au Wampende
@diamondplatnumz..?? Mkiniacha Na Maisha Yangu Pia Sio
Mbayaaaaaaaaaaaaaaa..."
![]() |
Diamond, Halima Kimwana na Shetta |
No comments: