LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAYA SI NI MAJANGA KIBONGO BONGO?

Hebu tafakari rais wa nchi kuchezea klabu ya kandanda inayoshiriki ligi ya taifa ya daraja la kwanza ?

Klabu moja huko Bolivia (Sport Boys) imemsajili rais wa Bolivia Evo Morales kuchezea kama kiungo cha kati kuanzia agosti mwaka huu.


Rais Morales atalipwa mshahara wa dola $213 kwa mwezi .
Morales atavalia jezi nambari 10 katika klabu hiyo iliyoko kusini mwa Bolivia katika jimbo la Santa Cruz.


Mashabiki wanamsubiri kwa udi na uvumba kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 54 ambaye ni shabiki sugu wa kandanda kushuka dimbani.

No comments:

Powered by Blogger.