KAULI YA DIWANI WA KATA YA IGOMA JIJINI MWANZA-CHADEMA ADAM CHAGULANI YAMTOKEA PUANI.
![]() |
Kushoto ni Mh.Chagulani akiwa na Dk.Kigwangall kulia |
Chagulani ambae ni mmoja wa Makada wa CHADEMA waliofukuzwa ndani ya chama kwa madai ya kukihujumu chama akiwa na wenzako kama Henry Matata ambae ni diwani wa Kata ya Kitangiri na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela.
Japo bado nafasi ya Adam ndani ya Chama haieleweki eleweki baada ya Mahakama kuzuia suala la kufukuzwa kwake akiwa na mwenzake Matata, Adam amekuwa akitoa kauli mbalimbali ambazo zimekuwa zikiashiria kwamba hana mapenzi mema na baadhi ya viongozi wa chama ama hata chama chenyewe ambacho kilimpa nafasi ya kuingia katika baraza la Madiwani Jijini Mwanza.
Nimesema hivyo kutokana na hiki alichokiandika katika ukurasa wake wa facebook, hebu soma mwenyewe na angalia maoni yaliyotolewa na wasomaji...Naiandika jinsi ilivyo na utahariri mwenyewe
"Kama slaa angekuwa na Demu mkali kama huyu unadhani wangapi? Wangefukuzwa akitoa order km. hili jimama linampeleja kiasi hiki je angepata kidosho km huyu"
![]() |
Picha iliyoambatana katika Maneno ya Mh.Chagulani |
Joseph Katowa kati ya mbulula wasio na akili ni diwani huyu mzinzi usiye na muda wa kufikilia hoja za kuwakomboa wapiga kura wako unawaza zinaa,pole na nikionana na wewe lazima nikuonye huna jipya.......
Samsekwa Mvambo Chagulani jipeleke Milembe ukapime akili yako
Francis Boniface shika adabu yako, kutukana wazazi wako we
pimbi
Emanuel Njowela chagulani nakuheshimu sana lkn kwa hili
nimudhalau kupita maelezo siamini kama niww umeandika haya siasa ndivyo ilivyo?
tujifunze nn kupitia kwako?
Florian Sospeter Muchunguzi Je unamlinganisha na mke wako
weka picha ya mkeo
Philipo Mpene kwa akili yako fupi umeona huyu demu ni mkali
sana anamzidi nini mama yako aliyekuzaa au huyu ana mbunye 2 na mama yako anayo
mbunye m
Victor Mlakimtoto Wa Wilbard Madhara ya mapanki na kutumia utumbo kufikiri ni hoja kama hizi..."hivi unafikiri unayoyawaza ndiyo kila mtu anawaza hivyohivyo?..
Joseph Gabriel haya ndo mawazo ya viongozi wetu wa
leo,unaanza hadi kujadil maisha binafsi ya mtu?kama akiwa na mke mbaya au mzuri
wewe inakuhusu nini?upuuzi mtupu?
Likenejo Mathias Adam uwe unafikiri kwanza kabla ya kunena
mbona unatuaibisha watu wa mwanza, wana-udsm, wanaume, vijana na marafiki
zako!!!!!! Kwa hiyo wewe ni zoba kwa mkeo?? Hata huku kukurupuka na kuropoka
bila hekima ni kwa sababu ya kuburuzwa na mkeo? Siasa si lazima uwe na cha
kusema kila siku kila mahali (ushauri)
Elidy Kibile Loading.......
No comments: