MOTO WA LOWASSA HAUZIMIKI, ANAPASUA ANGA KUPITIA CCM. NI TUMAINI SAHIHI NA LA UHAKIKA LA WATANZANIA.
Moto wa kukubalika kwake ni mkubwa kupindukia ndani ya chama Chake,
Ndani ya Vyama Vya upinzani na kwa watanzania kwa ujumla. Historia ya
utendaji kazi, ubunifu, ujasiri, uelewa na dhamira ya dhati ya kuleta
maendeleo ndio mbegu pekee ya kukubalika kwake na ushahidi wa uwezo
wake.
Kwa kulijua hilo kuna watu kwa ujinga, wivu na siasa za maji taka, wanajaribu kutafuta mbinu ya kumgombanisha na chama Chake, wanajaribu kuzusha mambo, wamezusha mengi hayajasaidia, wakaja na uzushi wa kutengeneza noti zenye picha ya mheshimiwa Lowassa, wameona haijasaidia, sasawanakuja na Uzushi kuwa Mhe.
Lowassa ameomba kujiunga na Chadema, eti taarifa za siri!. Mh! Wanajaribu kutumia Uzushi uliokwisha expire, tena ambao ulishashindwa kabla hata haujatumiwa. Uvivu wa kufikiri na kukosa mbinu sahihi za kupanua kukubalika kwao huongoza mawazo haya ya kijinga ya kuzusha uongo. Lowassa ni CCM na anapasua anga kupitia CCM. Viva Lowassa, Viva CCM. Hata Mfanyeje hamuwezi igombanisha CCM.
Na: Jacob Malihoja, Mwandishi Mahili hapa nchini

![]() |
Moja ya Mikutano ya Mh.Lowassa |
James Njau-Baba Esther; habari
yako hii ni ya mwaka jana, kwa habari za uhakika ni kuwa, Edward
Lowassa kwa siku chache zijazo atatangaza rasmi kujiunga na CHADEMA.
fahamu hilo na kila asomaye hii post yako asipotoke kwa hilo. Lowassa
anahamia Chadema ileweke ivo..
No comments: