LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA MATATA ZA BIRTH DAY PARTY YA MSANII NA MTANGAZAJI WA RADIO METRO NATTY E.

Wasanii pamoja na Producer kutoka Silca Music Studio Iliyopo Ilemela Mkoani Mwanza wakimpongeza Edna Elisha a.k.a Natty E Brandy ambae ni Msanii wa Hip Hop na Mtangazaji wa Radio Metro iliyopo Jijini Mwanza katika Birth Day Party yake iliyofanyika jana katika viwanja vya
Facebook Pub iliyopo Ilemela.Natty E alizaliwa Octoba 27 Miaka kadhaa iliyopita.
Wana Silca Music Studi wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Birth Day Party ya Natty E Brandy iliyofanyika jana Face Book Pub.
Wana Silca Music Studio wakiwa katika tayari kwa ajili ya zoezi la kulishwa Keki katika Birth Day Party ya Natty E Brandy iliyofanyika jana Face Book Pub.
Meneja wa Silca Music (Kushoto) akilishwa Keki na Natty E ambae ni mmoja wa wasanii wanaofanya kazi katika Studio hiyo.
Natty E (Kulia) akimlisha Keki mmoja wa Wasanii kutoka Silca Music Studio (Kushoto).
Natty E akimlisha Keki Producer wa Silca Music ikiwa ni katika Birth Day Party yake iliyofanyika jana Facebook Pub iliyoko Nyamanoro Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.
Natty E akimlisha Keki Shabiki wake katika Birth Day Party iliyofanyika Facebook Pub iliyoko Nyamanoro Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.
Natty E akimlisha Keki Mmoja wa Wafanyakazi wa Facebook Pub iliyoko Nyamanoro Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza jana katika Birth Day Party yake.
Natty E akimlisha Keki Shabiki wake katika Birth Day Party iliyofanyika Facebook Pub iliyoko Nyamanoro Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza.
Natty E (Kushoto) akimlisha Keki Dr.Tonny ambae ni Mtangazaji na Mhariri wa Radio Metro.
Natty E (Kushoto) akimlisha Keki Mamaa Lonah ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro.
Natty E (Kushoto) akimlisha Keki Mariam Juma ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro.
Natty E (Kushoto) pamoja na Sefroza Joseph (Kulia) ambao ni Watangazaji wa Radio Metro wakilishana Keki ikiwa ni katika Birth day ya Natty E.
Natty E (Kushoto) akimlisha Keki George Binagi-GB Pazzo (Kulia) ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro na MD wa Mtanzaniamedia Blog.
Natty E (Kushoto) akimlisha Keki Oxs Okeleky (Kulia) ambae ni Producer wa Metro Fm.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Radio Metro wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa kukata Keki katika Ofisi za Radio Metro.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Radio Metro wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa kukata Keki katika Ofisi za Radio Metro.
Sefroza Joseph (Kushoto) akipata kumbukumbu ya Keki ya Birth day ya Natty E ambae ni Msanii na Mtangazaji wa Radio Metro (Kulia).
Edna Elisha a.k.a Natty E akifurahia Kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake Octoba 27.
Mtanzaniamedia Blog Inakutakia Maisha Marefu na yenye fanaka tele Edna Elisha a.k.a Natty E Brandy.IKIWA UNAPENDA SHUGHULI YAKO ITOKELEZEE KATIKA MTANDAO HUU, PIGA SIMU NAMBARI 0757 43 26 94.
Na:George Binagi.

No comments:

Powered by Blogger.