LIVE STREAM ADS

Header Ads

BWANA JABIRY ABDUL MIYONGA NA BI.JAMILA ISMAIL WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.

Bwana Harusi Ndg.Jabiry Abdul Miyonga ambae anafanya kazi katika Kapuni ya Usafiri ya Bunda Bus (Kushoto) akiwa na Mkewe Bi.Jamila Ismail (Kushoto) hii ikiwa ni baada ya Kufunga ndoa hii leo.Ndoa imefungwa Nyakato Maziwa Jijini Mwanza na Kufuatiwa na Sherehe katika Ukumbi wa Mandela uliopo Isamilo Lorge Jijini Mwanza.
Ni siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana ambayo hatimae hii leo imetimia na historia imeandikwa baada ya
Bwana Jabiry Abdul Miyonga ambae anafanya kazi katika Kapuni ya Usafiri ya Bunda Bus kufunga ndoa na Bi.Jamila Ismail wote wakiwa ni Wakati wa Mkoani Mwanza.

Ndoa imefungwa hii leo Novemba 15, 2015 huko Nyakato Maziwa na Kufuatiwa na Sherehe ambayo imefana kweli kweli ambapo sherehe hiyo imefanyikia katika Ukumbi wa Mandela uliopo samilo Lorge Jijini Mwanza.
Bwana na Bibi Harusi wakikata utepe kuingia Ukumbini.
Bwana na Bibi Harusi Wakijiandaa kukata Keki katika Harusi yao iliyonanyika katika Ukumbi wa Mandela Uliopo Isamilo Lorge Jijini Mwanza.Ndoa imefungwa hii leo Novemba 15,2014 huko Nyakato Maziwa.
Bwana na Bibi Harusi Wakijiandaa kukata Keki katika Harusi yao iliyofanyika katika Ukumbi wa Mandela Uliopo Isamilo Lorge Jijini Mwanza.Ndoa imefungwa hii leo Novemba 15,2014 huko Nyakato Maziwa.
Maandalizi ya Kukata Keki.
Bibi Harusi Jamila Ismail (Kulia) akilishwa Keki na Mmewe Jabiry Abdul Miyonga ambae anafanya kazi katika Kapuni ya Usafiri ya Bunda Bus.
Bwana Harusi Bi.Jabiry Abdul Miyongo (Kushoto) akilishwa Keki na Mkewe Bi.Jamila Ismail.
Wasimamizi wa Bwana na Bibi Harusi wakijilisha Keki.
Wanafamilia wakilishwa Keki.
Dada Mkubwa wa Bibi Harusi akilishwa Keki na Shemeji yake (Bwana Harusi).
Mc Katumba (Aliechuchumaa) akilishwa Keki na Bibi Harusi kwa niaba ya Wageni waalikwa.
Bwana na Bibi Harusi Wakimkabidhi Keki Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi.
Bwana Harusi Jabiry Abdul Miyonga akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa Mkewe.
Bibi Harusi Bi.Jamila Ismail akiwakabidhi wazazi wake upande wa Mmewe Keki.
Bwana Harusi Jabiry Abdul Miyonga (Kushoto) na Mkewe Bi.Jamila Ismail (Kulia).
Bwana Harusi Jabiry Abdul Miyonga na Mkewe Bi.Jamila Ismail (Waliokaa pamoja wawili) wakiwa na wasimamizi wao Ukumbini.
Bwana Harusi ndg.Jabiry Abdul Miyonga (Aliesimama) akiwatambulisha Wazazi, ndugu, jamaa na Marafiki upande wa Familia yake. 
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Harusi akitoa nasaha zake.
Ni Wasaa wa Kuwasabahi Maharusi.
Zawadi zikiendelea kutolewa kwa Maharusi.
Miongoni mwa Wageni Waalikwa akitoa Zawadi kwa Maharusi.
Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wakipiga picha kwa ajili ya ukumbusho.Wa kwanza kushoto waliokaa ni Mzazi wa Bwana Harusi na Wa kwanza kutoka kulia ni Mzazi wa Bibi Harusi.
Wanafamilia upande wa Bwana Harusi wakipiga picha za Ukumbusho na Maharusi.
Wanafamilia wakipiga picha za Ukumbusho.
Wanafamilia kutoka kwa Bini na Bwana Harusi wakipiga picha kwa ajili ya Ukumbusho.
Waweza angalia picha nyingine kupitia mckatumba.blogspot.com, Mawasiliano zaidi wasiliana na Mc Katumba kwa nambari 0767 50 98 98, 0786 50 98 98 AU 0757 43 26 94 Mwandishi wa Mtanzaniamedia Blog.
Na:George Binagi & Mc Katumba.

No comments:

Powered by Blogger.