LIVE STREAM ADS

Header Ads

BONGO HIVI SASA NI PENZI LA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU.

Hatimaye zile tetesi  kwamba mwigizaji Wema Sepetu na msanii wa muziki Ommy Dimpoz wanatoka kimapenzi  zimekuwa kweli kwa zaidi ya asilimia 200.
  
Tetesi  hizo zimethibitishwa na picha waliyopiga jana usiku wakiwa bafuni huku Wema akiwa amevaa taulo tu na  Ommy Dimpoz akionekana kwa mbali kama ananawa mikono. 
 
Picha hii iliamsha watu kibao usiku wa jana hasa wale Team Wema, kwani comments na likes zilivyo tiririka utadhani  picha imewekwa saa sita mchana, kumbe ni usiku wa manane.

Hii  ndo  Picha  iliyowekwa  na  Wema  Sepetu Instagram.

No comments:

Powered by Blogger.