DOREEN LEKEY MWANAFUNZI WA WA CBE ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO WA MALAIKA KIDS.
![]() |
| Chakula kiliandaliwa na Doreen na Muda wa Kusosi yeye pamoja na Marafiki zake wakasosi pamoja na Watoto waliopo katika Kituo cha Malaika Kids Kinondoni. |
![]() |
| Chakula kikiandaliwa kwa ajili ya kusosiwa. |
![]() |
| Kumbukumbu katika kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magugumu kiitwacho Malaika Kids kilichopo Kinondoni Jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Baadhi ya Watoto wanaolelewa katika Malaika Kids kilichopo Kinondoni Jijini Dar es salaam. Hahahahahaaaaaa dogo Ujumbe umefika. |












No comments: