LIVE STREAM ADS

Header Ads

BRANDY NEW SONG: PACO BEA-PESA. BONGE LA NGOMA KUTOKA ROCK CITY.

                                                  MSANII PACO BEA KUTOKA ROCK CITY.

Mabibi na Mabwana, hii ni time yenu tena kupata kionjo kingine cha Muziki kutoka Rock City Mwanza-Mwanza na huyu si Mwingine bali ni Msanii Paco Bea ambae ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Pesa kutoka Studio za Delta Media Jijini Mwanza.

Kwa heshima na Taadhima, hii ni time yenu kuweza kuisikiliza na kuipakua pia hiyo ngoma ambayo inafahamika kwa jina la Pesa kutoka kwake Paco Bea maana ni ngoma kali sana.

Na: George Binagi-GB Pazzo, Ushauri 0757 43 26 94

No comments:

Powered by Blogger.