LIVE STREAM ADS

Header Ads

WATUMIAJI WA VOCHA ZA AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAENDELEA KUJISHINDIA MAGARI. AWAMU HII MSHINDI ATOKA JIJINI MWANZA.

Bi.Esther Mathias Mashauri ambae ni Mshindi wa Gari aina ya Toyota IST kutoka Airtel kupitia Promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi kutoka Isamilo Jijini Mwanza (Kushoto) akiwa katika Ofisi za Airtel Kanda ya Ziwa zilizopo Jijini Mwanza. Kulia ni Emmanuel Raphael ambae ni Afisa Masoko Airtel Kanda ya Ziwa. Bi.Mashauri anaungana na Washindi wengine tisa na kufanya idadi ya washindi kufikia 10 katika droo zote mbili.
Msikilize hapa chini Bi.Esther Mathias Mashauri wakati akizungumza na GB Pazzo akiwa katika Ofisi za Airtel Jijini Mwanza.

Bi.Esther Mathias Mashauri ambae ni Mshindi wa Gari aina ya Toyota IST kutoka Airtel kupitia Promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi kutoka Isamilo Jijini Mwanza (Kushoto) akiwa katika Ofisi za Airtel Kanda ya Ziwa zilizopo Jijini Mwanza. Kulia ni GB Pazzo akishow Love na Mshindi huyo kutoka Jijini Mwanza ambae amekuwa mshindi wa Kwanza kujishindia Toyota IST kutoka Aitel Tanzania Kupitia Promosheni ya Airtel Yatosha zaidi. Tayari kuna kuna washindi wengine watatu kutoka Dar es salaam, Pwani pamoja na Mtwara ambapo kuna Toyota IST 60 kwa ajili ya Prosheni hiyo.
Bi.Esther Mathias Mashauri ambae ni Mshindi wa Gari aina ya Toyota IST kutoka Airtel kupitia Promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi kutoka Isamilo Jijini Mwanza (Kushoto) akiwa katika Ofisi za Airtel Kanda ya Ziwa zilizopo Jijini Mwanza.
Ili kuingia katika Droo ya Airtel Yatosha zaidi unapaswa kujiunga na Vifurushi vya Yatosha zaidi kutoka Airtel vya Siku, Wiki au Mwezi kutoka Airtel na Moja kwa Moja utakuwa umeingia katika droo hiyo ambayo inakuwezesha kujishindia Gari aina ya Toyota IST lakini pia ukipata MSG zaidi, Dakika zaidi pamoja na Vifurushi vya Internet zaidi. Piga *149*99# Kwa maelezo zaidi.
Na: George Binagi-GB Pazzo.

No comments:

Powered by Blogger.