MWALIMU JAPHET MATIKO NA MWALIMU GRACE MAKAMBA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA.
| Misosi ikiendelea Ukumbini. |
| Misosi time ukumbini. |
| Misosi. |
| Hii ilikuwa mapema Bibi Harusi Mwalimu Grace Willium Makamba (Kulia) anaefundisha Shule ya Msingi Bujulula iliyopo Wilaya ya Geita Mkoani Geita akiwa na Matron wake Winny Willium (Kulia). |
| Wakiingia Ukumbini Mjini Musoma Mkoani Mara. |
| Ndugu, Jamaa na Marafiki upande wa Bwana harusi wakigonga Cheers Kwa Maharusi. |
| Shampeni Ikifunguliwa. |
| Bibi Harusi Bibi Harusi Mwalimu Grace Willium Makamba (Katikati) akikata Keki. |
| Bibi Harusi Mwalimu Grace Willium Makamba akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa Bwana Harusi. |
| Bibi Harusi Mwalimu Grace Willium Makamba akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa Bibi Harusi. |
| Bibi Harusi Mwalimu Grace Willium Makamba akimkabidhi Keki Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Harusi kwa niaba ya Wageni Waalikwa. |
Wasiliana na Binagi Media Group ili kupata huduma kama hii kwa bei nafuu kabisa kupitia 0757 43 26 94.
No comments: