LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAFANYABIASHARA MWANZA WAFUNGA MADUKA BAADA YA MWENYEKITI WAO KUPANDISHWA KIZIMBANI.

Miongoni mwa Maduka yaliyofungwa hii leo Jijini Mwanza kutokana na Mgomo wa Kushinikiza Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara nchini Johnsoni Minja kufutiwa kesi yake.
Leo Minja amefikishwa mahakamani kwa mara ya pili, mara ya kwanza alifikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma mjini mnamo Januari 28 mwaka huu kwa tuhuma za kuwachochea wafanyabiashara wasilipe kodi ya Serikali. Pia Minja anatuhumiwa kwa kosa la kuwapa maelekezo wafanyabiashara ya kutotumia mashine za Kilektoniki (EFDs).
Miongoni mwa Maduka yaliyofungwa hii leo Jijini Mwanza kutokana na Mgomo wa Kushinikiza Mwenyekiti wa Jumuiya Wafanyabiashara nchini Johnsoni Minja kufutiwa kesi yake.
Mwenyekiti wa wafanyabiashara Tanzania Johnson Minja
Picha na Athuman Chakale.

No comments:

Powered by Blogger.