LIVE STREAM ADS

Header Ads

HUDUMIWA KWA UKARIMU WA HALI YA JUU NA ANKO JOHN NDANI YA SOKORO SHOP JIJINI MWANZA.

Kwa Mahitaji yako mbalimbali ya nyumbani ukiwa Mtaa wa Ustawi, Maziwa Pande za Buzuruga Jijini Mwanza unakaribishwa ili Uweze Kuhudumiwa na Anko John ndani ya SOKORO SHOP.
Fahari yetu ni kwamba, Tutakuhudumia kwa Ukarimu wa Hali ya juu pamoja na kukupatia bidhaa zenye Ubora kwa kuzingatia vigezo vyote vya Ubora kwa kuwa tunajali sana Afya ya Mlaji sanjari na Wateja wetu kwa Ujumla.
(Pichani ni Anko John akikukaribisha kwa Tabasamu, tayari kabisa kwa ajili ya kukuhudumia wewe mteja wa SOKORO SHOP).
Na:George GB Pazzo
Kwa Ukarimu na Haiba kubwa, Ukiwa katika Mtaa wa Ustawi Maziwa pande za Buzuruga utahudumiwa na huyu jamaa (Anko John a.k.a Baba Getu) kwa ajili ya Mahitaji yako mbalimbali ya nyumbani.
Anko John (Pichani) anasema Furaha ya Sokoro Shop ni Kukuhudumia popote ulipo. Wasiliana na SOKORO SHOP kwa nambari 0764 39 66 04.
SOURCE:BINAGI MEDIA GROUP

No comments:

Powered by Blogger.