LIVE STREAM ADS

Header Ads

MR.MENGI KATIKA HARAKATI ZAKE ZA MUZIKI, HATIMAE KAFYATUA NGOMA MBILI KWA WAKATI MMOJA.

Msanii Mengi Rukonge a.k.a Mr.Mengi.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Hello Tanzania, Hello Mwanza, Hello Magu, Hello Wapendwa wasomaji wa BINAGI MEDIA GROUP. Ni matumaini yetu nyote mu-wazima. Kama ilivyo ada yetu ya kuwasogeza karibu yako wasanii mbalimbali, leo tena tunae Msanii kutoka Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Jamaa anafahamika kwa jina la MR.MENGI.

Jamaa ameachia ngoma mbili kwa wakati mmoja ikiwa ni ngoma ambazo zilikuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa Mziki Mkoani Mwanza hususani Magu na Viunga vyake.

Hivyo basi tunapenda kukupa fursa ya kuweza kudownload na kusikiliza ngoma hizo kupitia BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII. Wimbo wake wa Kwanza unaitwa NAKUJALI ambapo humo ndani C.SIR MADINI amepewa shavu lakini wombo wa pili unaitwa UMEONDOKA na humo ndani wamepewa shavu wasanii MPITA NJIA pamoja na SIHA.
SIKILIZA HAPA CHINI HIZO NGOMA. USHAURI 0764 45 87 77.
NAKUJALI-MR. MENGI ft. C.SIR MADINI.

UMEONDOKA-MR. MENGI ft. SIHA & MPITA NJIA.

No comments:

Powered by Blogger.