LIVE STREAM ADS

Header Ads

AMINA RASHID KUTOKA RADIO METRO AELEZA ALIVYOINGIA KATIKA MAHUSIANO NA HATIMAE KUOLEWA.

Amina Rashid akiwa na First Born wake Prince Makongolo.
Karibu usikilize Binagi Radio ambapo leo tunakuletea Sehemu ya Pili ya Mahojiano na Mtangazaji wa Radio Metro ya Jijini Mwanza Amina Rashid a.k.a Mamaa wa Mipasho ambapo mazungungumzo yaliyopita alitueleza Maisha ya Mahusiano yake kama Mtangazaji wa Kike hapa nchini Kabla na baada ya Ndoa. Kusikiliza Mahojiano hayo BONYEZA HAPA kisha twende sawa na Mazungumzo ya leo ambapo anatueleza namna Amina Rashid alivyompata Mpenzi wake ambae kwa sasa ni Mme wake.
KUSIKILIZA BINAGI RADIO BONYEZA PLAY HAPA CHINI                                              BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS

No comments:

Powered by Blogger.