LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI RADI: MAZUNGUMZO NA EZEKIEL WENJE, MBUNGE WA JIMBO LA NYAMAGANA CHADEMA.

Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (Chadema) Mh.Ezekiel Wenje (Alienyoa) akiwa na Wapiga Kura Wake Maeneo ya Makoroboi Jijini Mwanza.
Na:George GB Pazzo
Msomaji wa Binagi Media Group Karibu kusikiliza Mahojiano kupitia Binagi Radio ambayo GB Pazzo aliweza kuyafanya na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza Mh.Ezekiel Wenje (Chadema) akizungumzia masuala mbalimbali jimboni kwake ambayo hadi sasa anajivunia kuyatekeleza pamoja na kauli yake kuhusiana na uchaguzi wa Mwaka huu.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA BINAGI RADIO                                     BINAGI MEDIA GROUP PRODUCTIONS 

No comments:

Powered by Blogger.