LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KATIKA HAFLA YA KUMUAGA ALIEKUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA NYANZA BOTTLING COMPANY.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kutengeneza Vinywaji Jamii ya Cocacola ya Nyanza Bottling iliyopo Igoma Jijini Mwanza Christopher Mwita Gachuma CMG (Kushoto) akizungumza katika hafla ya Kumuaga aliekuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo R.K Bala (Kulia) ambae amestaafu. Hafla hiyo ilifanyika Juzi Ijumaa April 24, 2015 New Mwanza Hotel.
Na:George GB Pazzo
Aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK.Bala (Kushoto) akizungumza katika hafla ya Kumuaga iliyofanyika Juzi ijumaa katika New Mwanza Hotel. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Christopher Mwita Gachuma CMG.
Kwa namna ambavyo wakurugenzi hawa walikuwa wakifanya kazi kwa pamoja, siku hiyo waliweza kunyweshana Kinywaji kama nzuri ya Utendaji kazi uliokuwa miongoni mwao. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company ambae amestaafu kuitumikia Kampuni hiyo na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Christopher Mwita Gachuma CMG.
Wafanyakaza na wageni waalikwa wakimpongeza aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK Bala (Kushoto) katika hafla ya Kumuaga baada ya kustaafu kuitumikia Kampuni hiyo iliyofanyika Ijumaa New Mwanza Hotel.
Mmoja wa Wafanyakazi wa Nyanza Bottling Company akisalimiana na aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo RK Bala (Kushoto) katika hafla ya Kumuaga iliyofanyika Ijumaa ndani ya New Mwanza Hotel.
Wafanyakaza na wageni waalikwa wakimpongeza aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK Bala (Kushoto) katika hafla ya Kumuaga baada ya kustaafu kuitumikia Kampuni hiyo iliyofanyika Ijumaa New Mwanza Hotel Jijini Mwanza.
Wafanyakaza na wageni waalikwa wakimpongeza aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK Bala (Kushoto) katika hafla ya Kumuaga baada ya kustaafu kuitumikia Kampuni hiyo iliyofanyika Ijumaa New Mwanza Hotel Jijini Mwanza. Hapa walikuwa wakimpatia zawadi mbalimbali kama ishara ya Upendo wao kwake.
Wafanyakaza na wageni waalikwa wakimpongeza aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK Bala (Kushoto) katika hafla ya Kumuaga baada ya kustaafu kuitumikia Kampuni hiyo iliyofanyika Ijumaa New Mwanza Hotel Jijini Mwanza.
Kulia ni Afisa Masoko na Mauzo kutoka Nyanza Bottling Company Marco Masaka akisherehesha Shughuli akiwa pamoja na Mc mwalikwa katika shughuli hiyo ambayo jumla ilikuwa na Ma-Mc watatu.
Mkurugenzi Mkuu wa Nyanza Bottling Company Christopher Mwita Gachuma (Kulia) akizungumza katika hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo RK Bala (kushoto) ambayo ilifanyika ijumaa New Mwanza Hotel Jijini Mwanza.
Aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK. Bala akizungumza katika hafla ya kumuaga baada ya kustaafu ambayo ilifanyika ijumaa April 24, 2015 New Mwanza Hotel Jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mkuu wa Nyanza Bottling Company Christopher Mwita Gachuma CMG (Kulia) akiteta jambo na Aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo RK.Balaa (Kushoto).
Wageni waalikwa kutoka kampuni mbalimbali za CMG pamoja na nje ya kampuni hiyzo.
Wageni waalikwa kutoka Kampuni za CMG pamoja na nje ya kampuni hizo.
Sekta ya Maakuri katika hafla hiyo ilitendewa haki vilivyo maana kulikuwa na maakuri ya kila aina
Wageni waalikwa wakijipatia Maakuri katika hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company baada ya kustaafu.
Wageni waalikwa wakipata chakula katika hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company iliyofanyika Juzi Ijumaa New Mwanza Hotel Jijini Mwanza.
Wageni waalikwa wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea Ukumbini
Matukio yote yalikuwa yakijili Ukumbini yalikuwa yakirushwa Live na katika Screen ni familia ya RK.Bala iliyoko Uingereza ikifuatilia Matukio yaliyokuwa yakiendelea Ukumbini.
Wa pili kutoka Kushoto ni aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nyanza Bottling Company RK.Bala akiwa katika Picha ya Pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Christopher Mwita Gachuma (wa tatu kushoto) na wafanyakazi wengine.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Nyanza Bottling Company wakiwa katika Picha ya pamoja na Aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo RK.Bala (wa tatu kutoka Kushoto) ambae amestaafu.
Picha za Kumbukumbu zikiendelea ambapo hapa ni Wafanyakazi wa Nyanza Bottling Company wakiwa pamoja na RK.Bala (katikati).
Kumbukumbu zikiendelea ambapo hapa ni GB Pazzo (wa pili kulia) nikiweka kumbukumbu na RK Balaa (Kulia) pamoja na wafanyakazi na wanafamilia wengine.
Anaitwa Dereva Robert ambae ni mmoja wa Madereva wa Nyanza Bottling Company akiweka kumbukumbu na aliekuwa Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni hiyo RK.Bala (Kulia).
Kumbukumbu zikiendelea Ukumbini miongoni mwa wafanyakazi wa Nyanza Bottling Company.
Hatimae Muziki ukafunguliwa kwa Style hiyo na watu wakaanza kuserebuka.
Burudani pia zilikuwepo katika hafla hiyo
Ni burudani tu zikiendelea Ukumbini
RK.Bala akimtuza huyu dancer kwa style kutokana na namna alivyotoa burudani.
Ni mwendo wa Burudani...hakika palikuwa hapatoshi
Chears kama kawaida hatimae zikachukua nafai yake ambapo Kulia namuona Alphonce Tonny Kapela a.k.a Dr.Tonny akiwa pamoja na washkaji wengine wakifurahia kwa pamoja.
Kiroho saaafi kabisa kwa upande wa Sekta ya Vinywa, hawa watu walisimamia vyema sana...Hongera sana New Mwanza Hotel Jijini Mwanza kwa huduma ya Chakula na Vinywaji bila kusahau wahudumu waliobobea katika kutoa huduma kwa wateja.
AHSANTE KWA KUTEMBELEA BINAGI MEDIA GROUP, PAMOJA TUIJUZE JAMII.

No comments:

Powered by Blogger.