LIVE STREAM ADS

Header Ads

SENDOFF YA HOPE ALFRED MAAGI KUTOKA NYAKATO MECCO JIJINI MWANZA YAFANA.

Bi.Harusi Mtarajiwa HOPE ALFRED MAAGI Mkazi wa Nyakato Mecco Jijini Mwanza (Kushoto) akiwa Rebeca ambae ni Msimamizi wake a.k.a Matron katika SENDOFF yake iliyofanyika jana usiku April 08, 2015 katika Ukumbi wa Mtena B Buzuruga Jijini Mwanza.

Hope Alfred Maagi anatarajiwa Kufunga Pingu za Maisha na Bwana Venance Malisa Mkazi wa Arusha siku ya Jumamosi ijayo ya Tarehe 11.04.2015 katika Kanisa la Kijenge Mkoani Arusha.
Picha na George GB Pazzo
Antony Subi ambae ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bibi Harusi Mtarajiwa (Kushoto) akitoa neno la Ukaribisho jana katika Sendoff ya Hope Alfred Maagi (Kulia) anaetarajia kufunga pingu za Maisha jumamosi ijayo. Katikati ni Matroni wa Bi.Harusi. Sendoff ilifanyika Ukumbi wa Mtena B Buzuruga.
Bi Harusi Mtarajiwa Hope Alfred Maagi (Kulia) akikata utepe ishara ya akiingia Ukumbini.
Bi.Harusi Mtarajiwa  Hope Alfred Maagiakiingia.
Bi Harusi Mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akikata Keki.
 Hope Alfred Maagi (Kushoto) akiwa katika Maandalizi ya Kukata Keki.
Bi Harusi Mtarajiwa  Hope Alfred Maagi (Kushoto) akimlisha Keki Matroni wake.
Matroni wa Bi Harusi (Kulia) akimlisha Keki Bibi Harusi Mtarajiwa  Hope Alfred Maagi (Kushoto).
Bibi harusi Mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akimlisha keki mdogo wake kwa ishara ya Mzazi wake wa Kike.
Bibi Harusi Mtarajiwa Hope Alfred Maagi akimlisha keki mdogo wake kwa ishara ya mzazi wake wa Kiume.
Bibi harusi mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akimlisha Keki dada yake mkubwa.
Bibi harusi mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akiwalisha keki wadogo zake.
Bibi harusi mtarajiwa akiwalisha keki wadogo zake.
Bibi harusi mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akimlisha keki kaka yake mkubwa.
Bibi harusi mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akimkabidhi keki Antony Subi ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa kamati ya Sherehe (Sendoff).
Bibi harusi mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akiwakabidhi keki wazaze wake upande wa bibi harusi.
Bibi harusi mtarajiwa  Hope Alfred Maagi akiwakabidhi keki wazazi wake upande wa bwana harusi.
Maandalizi ya Kufungua Shampein
Wazazi wa Bwana harusi wakitia baraka katika shampein kabla ya kufunguliwa.
Hatimae Shampein ikafunguliwa na ikawa ni nderemo na vifijo kwa sana.
Bibi harusi Mtarajiwa  Hope Alfred Maagi (Kushoto) akiwa na Matroni wake (Kulia) tayari kwa kuonja Shampein.
Wageni waalikwa upande wa Bwana harusi wakigonga Cheers kwa wenyeji wao wazazi wa Bibi harusi.
Cheers zikiendelea ukumbini kama ishara ya upendo.
Cheers zikiendelea ukumbini.
Hatimae ukawadiwa wakati wa zawadi na hapa ndugu, jamaa na marafiki ambao walijumuika katika Sendoff ya  Hope Alfred Maagi wakaanza kuwasilisha zawadi zao.
Hatimae ukawadiwa wakati wa zawadi na hapa ndugu, jamaa na marafiki ambao walijumuika katika Sendoff ya  Hope Alfred Maagi wakaanza kuwasilisha zawadi zao.
Hatimae ukawadiwa wakati wa zawadi na hapa ndugu, jamaa na marafiki ambao walijumuika katika Sendoff ya  Hope Alfred Maagi wakaanza kuwasilisha zawadi zao.
Hatimae ukawadiwa wakati wa zawadi na hapa ndugu, jamaa na marafiki ambao walijumuika katika Sendoff ya  Hope Alfred Maagi wakaanza kuwasilisha zawadi zao.
Oven ilikuwa ni zawadi kutoka kwa kamati ya Sendoff.
Wazazi upande wa Bwana harusi wakifurahia.
Wageni waaalikwa.
Wageni waalikwa
Burudani zikaanzia hapa...kwa mbali namuona Mc.Katumba ambae alikuwa ni Mc wa Shughuli hiyo.
Shake body.......mdogo mdogo......Achukucha achukuchaaa.....Dance lilikuwa balaa hapa
Hapa ngoma ya asili kutoka uchagani kwa bwana harusi palikuwa balaaaa
Hapa ngoma ya asili ya Ndolela kutoka Ujitani kwao na bibi harusi palikuwa hapatoshi
Bibi harusi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake upande wa bibi harusi.
Bibi harusi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake upande wa bwana harusi.
Bibi harusi mtarajiwa Hope Alfred Maagi (Kulia) akiwa na Rebeca ambae alikuwa ni Msimamizi wake a.k.a Matroni (Kushoto).
Hapa bwana Bibi harusi mtarajiwa HOPE ALFRED MAAGI (wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Bwana harusi mtarajiwa VENANCE MALISA (wa pili kutoka kulia). Wengine ni wasimamizi wao. Harusi yao inatarajiwa kufanyika jumamosi April 11, 2015 katika Kanisa la Kijenge Mkoani Arusha.
BINAGI MEDIA GROUP: 0757 43 26 94
KWA SHUGHULI ZA U-MC WASILIANA NA NA MC-KATUMBA KWA NAMBARI 0767 50 98 98

No comments:

Powered by Blogger.