YANGA NA HISTORIA YA MICHEZO YA KIMATAIFA TANGU MWAKA 1982 HADI MWAKA HUU.
Timu ya Yanga ambayo juzi jumamosi ilicheza na Timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika na kutoka sare ya bao 1-1 ina historia yake tangu mwaka 1982 katika michuano mbalimbali ya Kimataifa.
Chini ya kocha
Mholanzi Hanavan der Pluijm, Yanga mwaka jana ilivunja mwiko wa kutozifunga
timu za Kaskazin mwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ahly
ya Misiri.
Hata hivyo katika
mchezo wa marudiano mjini Alexandrie wenyeji waliibuka na ushindi wa goli 1-0
na kuhamia kwenye dakika za nyongeza na baadaye yanga ikatolewa kwa penati 4-3.
IFUATAYO NI
REKODI YA YANGA DHIDI YA TIMU ZA KASKAZINI MWA AFRIKA
Ligi ya mabingwa
Afrika mwaka 1982
RAUNDI YA PILI
Al-Ahly 5-0 Yanga
[Misri]
Yanga 1-1 Al-Ahly
[Dar]
Ligi ya mabingwa mwaka
1988
Raundi ya kwanza
Yanga 0-0 Al-Ahly
[Dra]
Al-Ahly 4-0 [Misri]
Ligi ya mabingwa mwaka 1992
Raundi ya kwanza
Yanga 0-2
Ismailia[Dar]
Ismaili 1-1 Yanga
[Misri]
LIGI YA MABINGWA MWAKA
1998
Mechi za kundi B
Raja Casablanca
6-0 Yanga [Morocco]
Yanga 3-3 Raja
Casablanca [Dar]
LIGI YA MABINGWA MWAKA
2007
Raundi ya pili
Esperance 3-0
Yanga [Tunisia]
Yanga 0-0
Esperance [Dar]
Mpenzi
mwanamichezo usikose kufuatilia Historia hii siku ya kesho jumanne kupitia mtandao huu, karibu sana...
No comments: