LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY MTOTO MZURI.

Anaitwa Mtoto Mzuri Lolecia Steven a.k. Loly Botique kutoka Jijini Mwanza. Ijumaa iliyopita ya May Mosi, 2015 mtoto huyu alikuwa akitimiza Miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake. Akiwa ni miongoni mwa wanachama wa Group la Whatsupp liitwalo WADAU-BINAGI MEDIA GROUP, mtoto huyu aliona ni vyema kushiriki na wadau hao katika kusherekea Siku yake ya kuzaliwa.Tazama picha ilivyokuwa. Keki iliandaliwa na Agness ambae pia ni Mdau wa Binagi Media Group.
Picha na Wadau-Binagi Media Group
Mtoto Loly (Kulia) akimlisha keki rafiki yake (Kushoto).
Mtoto Loly akiwalisha Keki Marafiki
Mtoto Loly akiwalisha Keki Marafiki zake
Keki tamu sana
Happy Birth Day to you....
Mtoto Loly (Kulia) pamoja na GB Pazzo (kushoto) wakilishana keki
Something like lite pia ilikuwepo pamoja na some ndizi and nyamazi.
BINAGI MEDIA GROUP, INAKUTAKIA MAISHA MEMA.

No comments:

Powered by Blogger.