NI USIKU WA MDUARA NA AT NDANI YA MASHY HOTEL JIJINI MWANZA HII LEO IJUMAA MAY 30, 2015.
Tayari AT amekwisha kutua katika Mji wa Miamba a.k.a ROCK CITY kwa shughuli hiyo ambayo ni mahususi kabisa kwa wanazi wa miduara Jijini Mwanza ikiwa ni kiingilio ambacho hakimtoi jasho mtu, kwa maana ya Shilingi Elfu Tatu tu hadi majogoo huku ukifurahia mandhari nzuri iliyopo Mashy Hotel.
Jambo mhimu ni kwamba USIKU WA MDUARA NI HII LEO IJUMAA MAY 29, 2015 na si kesho May 30, 2015 kama ilivyo katika banner, hiyo ilitokana na makosa ya kiuchapishaji. Check Nasi hapa 0763 78 44 25.
BONYEZA HAPA KUONA SHOW ILIYOPITA
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII
No comments: