Karibu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVE Kipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii. Wiki hii mada ni SIKU YA AKINA BABA DUNIANI. Na mgeni mwalikwa ni Mayor Mlima Ni Niambie Live....KARIBU Na:Kwanza Production
No comments: