LIVE STREAM ADS

Header Ads

SAMWEL SITTA APEWA CHEO CHA MWIZUKULU MKULU WA UNYANYEMBE.

Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira akimtambikia Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta ambaye ni binamu yake.
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Ngulati Fundikira juzi asubuhi alimpa cheo cha Mwizukulu mkulu Mh Samuel Sitta katika kutambua safari yake ya kukiomba Chama cha cha Mapinduzi CCM kimpe ridhaa ya kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.
Mh Samuel Sitta akiwa na mkewe Mh Magreth Sitta wakisubiri kutambikiwa.
Mtemi wa Unyanyembe Msagata Fundikira akisisitiza jambo katika hafla fupi ya kumpa cheo Mh Samuel Sitta
                                              Mtemi Msagata akimvika mgololo Mh Sitta
Mtemi Msagata Fundikira, Mh Rageh, Mh Samuel Sitta na Mlinzi Mh Sitta wakitokea sehemu maalumu palipofanyika tambiko.
Picha na Habari na Mkala Fundikira wa TBN CENTRAL ZONE

No comments:

Powered by Blogger.