LIVE STREAM ADS

Header Ads

LIVE: TAZAMA PICHA ZA SENDOFF YA IMMAKULATHA KULIKUNDA MKAZI WA NYAKATO JIJINI MWANZA.

Bi.Harusi Mtarajiwa Immakulatha Kulinduka (Kushoto) ambae ni Mkazi wa Nyakato Jijini Mwanza akiwa tayari kabisa kwa ajili ya kukata Utepe ili kuingia Ukumbini hii leo ikiwa ni Katika SENDOFF yake ambayo inafanyika Ukumbi wa COCONUT HOTEL Jijini Mwanza. Kulia ni Mpambe wake aitwae Silivia Mwenda.
Bi.Immakulatha Kulinduka anatarajia kufunga ndoa na Jumamosi ijayo ya June 27, 2015 na Seth Rwekaza Mkazi wa Pasiansi.
Na:Mc Katumba & GB Pazzo
Bi.Harusi Mtarajiwa Immakulatha Kulikunda akikata Keki.
Wa kwanza kushoto ni Mshereheshaji wa shughuli aitwae Mc.Katumba, Katikati ni Mpambe wa Bi.Harusi mtarajiwa aitwae Silivia Mwenda na Kulia ni Bi.Harusi Immakulatha Kulikunda.
Bi.Harusi mtarajiwa aitwae Immakulatha Kulikunda (Kushoto) akiwa na Mpambe wake aitwae Silivia Mwenda (Kulia).
Bi.Harusi Mtarajiwa (wa pili kulia) na wapambe wake
Zawadi
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Ni Muda wa Zawadi kutoka kwa ndugu, jamaa na Marafiki.
Bi.Harusi Mtarajiwa (wa pili kulia) na wapambe wake.
Wazazi upande wa Bwana Harusi Mtarajiwa upande wa Bwana harusi.
Mc Katumba ndani ya Nyumba
Nasaha kukoka kwa Mjomba wa Bwana Harusi Mtarajiwa
Kushoto ni Bi.Harusi Mtarajiwa Immakulatha Kulikunda akiwa na Bwana harusi Mtarajiwa Seth Rwekaza (Kulia).
Bibi harusi Mtarajiwa akimlisha mmewe Mtarajiwa chakula cha asili aina ya SENENE
Bibi harusi mtarajiwa akimkabidhi mmewe zawadi ya chakula cha asili aina ya SENENE
Bibi harusi Mtarajiwa akimkabidhi mmewe mtarajiwa zawadi
Bwana harusi akionyesha moja ya zawadi aliyopokea
Ujumbe kwa Maharusi kutoka kwa Mc.Kafula
Maharusi walipokea cheki kutoka kwa Washereheshaji
Washereheshaji wa SENDOFF ambao ni RAFIKI ENTERTAINMENT walipata fursa ya kutoa Cheti kwa Maharusi kama sehemu ya baraka zao. Nao si wengine bali ni Mc Katumba (wa pili kulia) na Mc Kafula (Wa kwanza Kushto).
Wa kwanza Kushoto ni Mzee Deusdedi Rutajula akitoa nasaha zake kwa niaba ya familia Maharusi watarajiwa.
Katikati wawili ndio Maharusi wetu watarajiwa hii ikiwa ni katika Sendoff ya Bi.Harusi Mtarajiwa
Maharusi watarajiwa wakichukua chakula
Bibi harusi Mtarajiwa akiwa na Bwana harusi Mtarajiwa wakichukua Chakula pamoja na wapambe wao.
Wapambe wa Bwana na Bibi harusi wakichukua chakula
Ni wakati wa Msosi
Wageni waalikwa wakichukua Msosi
Meza ya Bwana na Bibi harusi Watarajiwa ikiendelea na Mazungumzo huku chakula kikishuka taratiu kabisa
Bibi harusi na wapambe wake wakiserebuka
Ni mwendo wa Kuserebuka Ukumbini
Bibi harusi Mtarajiwa (Kushoto) akiwa na Mpambe wake wakitoka Ukumbini
Bibi harusi Mtarajiwa (Kushoto) akiwa na Mpambe wake wakitoka Ukumbini
Shughuli ilisimamiwa na Mc Katumba (Katikat) Chini ya Kampuni yake iitwayo Rafiki Entertainment ambapo Kulia ni Dj Sadala akiwa na Dj Leonard (Kushoto).
Tunawatakia Maandalizi Mema Maharusi wetu katika harusi yao inayotarajiwa kufanyika Jumamosi June 27, 2015
Call: 0757 43 26 94 / 0767 50 98 98

No comments:

Powered by Blogger.