LIVE STREAM ADS

Header Ads

BLOGGERS MWANZA WAKIWA BACK STAGE NA TEAM YA MAJAJI WA BSS 2015 JIJINI MWANZA.

Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmack Production inayoandaa shindano la Bongo Star Search na Chief Judge wa shindano hilo Rita Paulsen a.k.a Madam Rita, katika ni Blogger Blogger na Mmiliki wa Mtandao huu GB Pazzo na Kulia ni Judge Master J wa BSS.

Hii ilikuwa mwishoni wikendi iliyopita La Kairo Hotel baada ya Usaili wa BSS 2015 Mwanza so usikose kufuatilia Shindano hilo kupitia Star Tv and Clouds Tv kuanzia Julai 19,2015.
Picha na MX @BSS 2015
Blogger GB Pazzo wa Mtandao huu(Kushoto)akiwa na Judge Salama Jabir wa BSS (kulia).
Judge Salama Jabir wa BSS (Kushoto) akiwa na Blogge GB Pazzo (Kulia) wa Binagi Media Group
Kushoto ni Vesterjtz ambae ni Reporter wa Mtandao huu akiwa na Judge wa BSS Master J (Kulia).
Chief Judge wa BSS Madam Rita (Kushoto) akiwa pamoja na Reporter wa Mtandao huu Vesterjtz (Kulia).
Judge Salama Jabir wa BSS (kulia)akiwa pamoja na Reporter wa Mtandao huu Vesterjtz (Kushoto).
Judge Salama Jabir wa BSS (kushoto) akiwa na Reporter wa Mtandao huu Vesterjtz (Kulia). 
Kushoto ni Mchanganyaji video/Picha wa BSS, katikati ni Judge wa BSS Salama Jabir na Kulia ni Reporter wa TZA Millarayo Mwanza Hamis Tza
Kushoto ni Judge wa BSS Salama Jabir akiwa na Reporter wa TZA Millarayo Mwanza Hamis Tza (Kulia).
Kushoto ni Judge wa BSS Salama Jabir akiwa na Reporter wa TZA Millarayo Mwanza Hamis Tza (Kulia).
Tunashukuru kwa Kutembelea Mtandao huu, Tunasema Ahsante na Karibu kila wakati au Bonyeza HAPA Ili twende sawa.

No comments:

Powered by Blogger.