KWA HUU WIMBO NI LAZIMA MSANII RAMA CHIBYA AZIDI KUTUSUA ZAIDI.
Leo tunakuletea ngoma Mpya ya Msanii kutoka Jijini Mwanza aitwae RAMA CHIBYA, ngoma inafahamika kwa jila la SEMA ikiwa ni Mkono wa Producer LOL.
Binagi Media Group,"Kwa Wimbo Mzuri kama huu aliouachia Rama Chibya, ni kwamba atazidi kutusua (Kusonga mbele) zaidi katika mafanikio yake kimuziki.
Bonyeza Play Kusikiliza then Download ili Kuupakua.
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii

No comments: