LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG WATOTO WETU. HAPPY BIRTH DAY MTOTO MELESSIANA JOHN.

Binagi Media Group (BMG) Watoto Wetu ni fursa kwa wazazi na walezi kuwapongeza watoto wao kwa kila hatua wanayoipitia. Yaweza kuwa Birth Day, Umaulu wa Masomo nk.

Leo Mtoto Mellesiana John (Pichani) wa Rebu Tarime Mkoani Mara anapongezwa na Wazazi wake kwa kutimiza umri wa Mwaka Mmoja tangu kuzaliwa kwake, na wanamwombea baraka na fanaka tele.
Leo Mtoto Mellesiana John (Pichani) wa Rebu Tarime Mkoani Mara.

No comments:

Powered by Blogger.