LIVE STREAM ADS

Header Ads

KERO YA UCHAFU KATIKA SOKO LA KWA MSUKA MANISPAA YA ILEMELA ISHUGHULIKIWE.

Uchafu ukiwa Umezagaa Ovyo katika Soko la Wafanyabiashara ndogondogo wa Chakula na Matunda katika Soko la Kwa Msuka lililopo Kiloleli Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza.
Licha ya Kwamba uchafu huu ni kero kwa wafanyabiashara wa Soko hilo pamoja na Wateja wake, pia linahatarisha usalama wa walaji/watumiaji wa bidhaa zinazouzwa katika Soko hilo.
Uongozi wa Soko pamoja, Serikali ya Mtaa pamoja na Manispaa ya Ilemela Unapaswa kuishughulikia kero hiyo.
Na:Binagi Media Group

No comments:

Powered by Blogger.