LIVE STREAM ADS

Header Ads

NYOTA YAZIDI KUWAKA KWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TARIME MJINI (CHADEMA) ESTHER MATIKO.

Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini (Chadema) Esther Nicolaus Matiko akiwahutubia wakazi wa Kata ya Nyamisangura jimboni humo jana. 
Matiko anazidi kukubalika siku hadi siku jimboni humo ambapo amekuwa akipata mapokezi makubwa katika mikutano yake ya Kampeni inayoendelea katika jimbo hilo.
Picha na Peter Magwi Michael
Wagombea Ubunge Kupitia Chadema John Heche Jimbo la Tarime Vijijini (Kushoto) pamoja na Esther Matiko (Kulia) wakiomba kura kwa wakazi wa Kata ya Nyamisangura jana
Wakazi wa Kata ya Nyamisangura Jimbo la Tarime Mjini wakiwa katika Mkutano wa hadhara jana ambapo Mgombea Ubunge (Chadema) katika jimbo hilo Esther Matiko alikuwa akihutubia.
Wakazi wa Kata ya Nyamisangura Jimbo la Tarime Mjini wakiwa katika Mkutano wa hadhara jana ambapo Mgombea Ubunge (Chadema) katika jimbo hilo Esther Matiko alikuwa akihutubia.
Mgombea Ubunge kupitia Chadema katika Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko 
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.