LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MHE.ASHA ROSE MIGIRO AWAONGOZA WANAWAKE WA MWANZA KULIOMBEA TAIFA.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Asha-Rose Migiro (Wa Pili Kushoto) akiwasili jana katika Viunga Vya Yatch Club Jijini Mwanza katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililoandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa lengo la Kuliombea Taifa pamoja na Kuombea Uchaguzi Mkuu uwe wa Amani na Mshikamano.
Na:George GB Pazzo
Meza Kuu ambapo Kutoka Kushoto ni Zainab Telaki Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Mwajuma Nyilaki ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mgeni Rasmi ambae ni Waziri wa Katiba na Sheria Asha Rose Migiro, Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Viola Mlongo, Mkurugenzi wa Nitetee Foundation Flora Lauwo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Pili Moshi.
Mkuu wa Wilaya ya Iringa na Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mama Angelina Mabula akiwasili katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika Jana Jijini Mwanza.
Meza Kuu ambapo Kutoka Kushoto ni Zainab Telaki Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Mwajuma Nyilaki ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, Mgeni Rasmi ambae ni Waziri wa Katiba na Sheria Asha Rose Migiro, Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Viola Mlongo, Mkurugenzi wa Nitetee Foundation Flora Lauwo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Pili Moshi.
Mshereheshaji Stara Thomas akisherehesha Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza likiwa limelenga Kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu

Kongamano lilifunguliwa kwa Maombi kutoka kwa Wanawake/Viongozi wa dini
Wanawake/Viongozi wa Dini ya Kiislamu wakiongoza Maombi ya Kuliombea Taifa lidumishe Amani yake pamoja na Kuombea Uchaguzi Mkuu nchini Uwe wa Amani katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Kongamano lilifunguliwa kwa Maombi kutoka kwa Wanawake/Viongozi wa dini
Wanawake/Viongozi wa Dini ya Kikristo wakiongoza Maombi ya Kuliombea Taifa lidumishe Amani yake pamoja na Kuombea Uchaguzi Mkuu nchini Uwe wa Amani katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Nitetee Foundation Flora Lauwo akizungumza katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza likiwa limelenga kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu
Mkurugenzi wa Nitetee Foundation Flora Lauwo akikabidhi Risala yake kwa Mgeni Rasmi
Viola Mlongo ambae ni Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza likiwa limelenga kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu

Mama Sella Victor akitoa Mada kwa Wanawake katika Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza likiwa limelenga kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu
Mtoa Mada Mama Sella Victor (Kulia) akimpongeza Mkurugenzi wa Nitetee Foundation Flora Lauwo (Kushoto) kutokana na namna anavyojitoa kwa ajili ya kuisaidia jamii yenye uhitaji nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mhe.Mwajuma Nyiluka akizungumza Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza likiwa limelenga kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu
Mgeni Rasmi Mhe.Asha-Rose Migiro ambae ni Waziri wa Katiba na Sheria akizungumza katika  Kongamano la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza likiwa limelenga kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu 

Zaidi ya Wanawake 2,000 kutoka Wilaya za Mkoa wa Mwanza walijitokeza katika  Kongamano hilo la Wanawake na Maendeleo lililofanyika jana Jijini Mwanza ambapo liliandaliwa na Nitetee Foundation kwa Kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza likiwa limelenga kuliombea Taifa pamoja na Uchaguzi Mkuu 

PICHA YA PAMOJA
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.