TCRA IKO MACHO. WALIOTIWA MBARONI KWA UTAPELI WA MTANDAONI WAPANDISHWA KIZIMBANI.
Mwanasheria Mwandamizi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano nchini
TCRA Johanes Kalungula akiongea na wanahabari nje ya mahakama ambapo amewasihi
wananchi kuwa makini ili kupuka utapeli wa mitandaoni kwani watuhumiwa hao
walikuwa wakituma msg za kuomba pesa kupitia laini za simu walizosajili kwa
majina ya kughushi.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Jana Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA iliwapandisha kizimbani watu watatu katika Mahakama ya hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kusajili laini za simu na kufungua akaunti za benki kwa majina ya vyama vya siasa vya CCM na CHADEMA na kuzitumia kuomba pesa kwa wafanyabiashara kwa minajiri ya kusaidia katika zoezi la kampeni za uchaguzi mkuu uliomalizika hivi karibuni. BONYEZA PLA HAPA CHINI KUSIKILIZA Tazama HAPA Watuhumiwa wakiwa Mahakamani
No comments: