LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG GOSPEL: VIDEO YA "PRINCE ABUU-OMBA" KUTOKA RASMI MWEZI JUNE MWAKA HUU.

Prince Abuu Levy ambae ni mwimbaji wa Muziki wa Injili kutoka Jijini Mwanza, anatarajia kuachia Video ya Wimbo wake uitwao Omba, June 15,2016.

Ni mwimbaji mwenye karama ya kipekee katika huduma ya uimbaji hivyo matumaini ya BMG Gospel ni kuona video hiyo ikiwa yenye upako wa hali ya juu na ambayo hupaswi kuikosa.
Bonyeza HAPA Kusikiliza

No comments:

Powered by Blogger.