LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKATIBU WA UVCCM KUTOKA WILAYA NA MIKOA YA KASKAZINI WAKUTANA MKOANI DODOMA.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis, akizungumza na Makatibu wa UVCCM kutoka Wilaya na Mikoa Kanda ya Kaskazini ikiwa ni maandalizi ya Semina ya Kiuchumi Makatibu hao inayotarajia kuanza kesho May 13 hadi 14 Mkoani Dodoma.
Na:Fahadi Siraji   

Mwenyekiti wa Uvccm Taifa, Sadifa Juma Khamisi na Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka, wamekutana na Makatibu wa UVCCM kutoka Wilaya za Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Singida na Dodoma ikiwa ni Maandalizi ya Semina ya Kiuchumi itakayofanyika Siku mbili kuanzia kesho Tarehe 14 hadi 15 Mkoani Dodoma.
                                        
Lengo ni kuwaelimisha Makatibu wa Wilaya na Mikoa ya Kanda ya kaskazini ili kutambua na kufahamu namna ya kuzidendea kazi pamoja na fursa za Vijana ili kuijenga Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ili kuendanana na kasi ya SIASA NA UCHUMI.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka (katikati), akizungumza na Makatibu wa UVCCM kutoka Wilaya na Mikoa Kanda ya Kaskazini ikiwa ni maandalizi ya Semina ya Kiuchumi Makatibu hao inayotarajia kuanza kesho May 13 hadi 14 Mkoani Dodoma.
Makatibu wa UVCCM kutoka Wilaya na Mikoa Kanda ya Kaskazini wakiwa katika kikao cha maandalizi ya Semina ya Kiuchumi Makatibu hao inayotarajia kuanza kesho May 13 hadi 14 Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis, akizungumza na Makatibu wa UVCCM kutoka Wilaya na Mikoa Kanda ya Kaskazini ikiwa ni maandalizi ya Semina ya Kiuchumi Makatibu hao inayotarajia kuanza kesho May 13 hadi 14 Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis (Mwenye suti nyeupe), akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wa UVCCM kutoka Wilaya na Mikoa Kanda ya Kaskazini ikiwa ni maandalizi ya Semina ya Kiuchumi Makatibu hao inayotarajia kuanza kesho May 13 hadi 14 Mkoani Dodoma.

No comments:

Powered by Blogger.