LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIKOSE LEO NDANI YA "CHECK INN PUB" JIJINI MWANZA.

Usikose leo jumapili Mei 15,2015 kuanzia saa 12 jioni ndani ya CHECK INN PUB Kilimahewa, Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza.

 Kutakuwa na show kali ya muziki wa dansi ambapo bendi ya African Artists Academy ya Jijini Mwanza itatoa burudani kwa wanamwanza kwa kiingilio cha shilingi 3,000 tu.
Bonyeza HAPA Kwa Maelezo Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.