TAZAMA VIDEO MPYA YA NYASA BOY KUTOKA TANZANIA ONE MUSIC.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Kutoka kundi la Tanzania One Music, Msanii Nyasa Boy anaepiga mishe zake za muziki Jijini Mwanza ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao "Ni-Renew" .Ni video tamu kuitazama na hakika Nyasa Boy kaitendea haki.Itazamo kupitia Binagi Online Tv.
Bonyeza HAPA Kutazama Video Ikirekodiwa.
No comments: