WATU NA MISHE MISHE ZAO MJINI DODOMA.
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Mji wa Dodoma bado umezungukwa na wageni kutoka mikoa mbalimbali nchini. Pichani ni mwenyeji wa baadhi ya wageni kutoka mkoani Mwanza, Revocatus Herman (kushoto) akiwa na Sylvester Joseph-Vesterjtz kutoka Afya Radio Mwanza (kulia).
Mji wa Dodoma bado umetawaliwa na habari za Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika jana ambapo Dkt.John Pombe Magufuli alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.
Mji wa Dodoma ni mzuri. Umejengwa kwa mpangilio mzuri ikiwemo kuzingatia ramani katika ujenzi wa makazi. Miaka michache ijayo, Dodoma utakuwa mji wa kuvutia sana miongoni mwa Miji mizuri nchini.
Changamoto kubwa Dodoma ni gharama za maisha kupanda kwa msimu kama vile wakati wa vikao vya bunge ama mikutano ya kisiasa kama Mkutano Mkuu wa CCM bidhaa kama vyakula na nyumba za kulala wageni, gharama huwa kubwa.
Revocatus Herman (L) akiwa na George Binagi-GB Pazzo (R) @102.5 Lake Fm Mwanza
Fighters themself, GB Pazzo (L), Vesterjtz (C), Revocatus (R) @Nyerere Square Dodoma.
Alphonce Tonny Kapela from Metro Fm Mwanza
Dr.Tonny from Metro Fm Mwanza (L) chealing with Vesterjtz from Afya Radio @Nyerere Square Dodoma.
Bila shaka Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa ambayo yanatarajiwa kufanyika Kitaifa Mjini Dodoma, yataletwa kwenu na BMG kutoka kwa wapambanaji hawa ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Amiri Jeshi Mkuu ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli.
No comments: