LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAZAZI NA WALEZI HII INAWAHUSU.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mtoto akiwa na mtoto mgongoni kama alivyokutwa na Vesterjtz wa BMG katika eneo la Independence Mjini Dodoma. 
Ni vyema watoto kufundishwa shughuli mbalimbali lakini inapaswa wazazi/walezi kuwafundisha shughuli zisizoathiri haki zao za msingi ikiwemo kuzidishiwa majukumu ama kupata elimu.

No comments:

Powered by Blogger.