LIVE STREAM ADS

Header Ads

MCHAKATO WA KUMSAKA MSHINDI WA TIGO FIESTA SUPER NYOTA 2016 JIJINI MWANZA NI NOMA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Msanii pekee wa kike aliyeingia Fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza,Yasinta akiimba wakati wa shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Rock Bottom jijini Mwanza jana. 
Na Krantz Mwantepele
Msanii mdogo kuliko wote kwenye  Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, Aga Star akionyesha kipaji chake.
Msanii Nchama akiwania nafasi ya kushiriki fainali za Tigo Fiesta Super Nyota zitakazofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini mwanza jumamosi wakati wa msimu wa fiesta
Majaji wakiongozwa na Gardener G Habash (katikati) wakihesabu kura kwenye mchuano wa  Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza.
Washindi walioingia fainali ya Tigo Fiesta Super Nyota jijini Mwanza, wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Powered by Blogger.